Mbweha na zabibu chachu

Mbweha na zabibu chachu

by Kholeka Mabeta

Free, no credit card. Tap any sentence for a translation, an explanation or the grammar.

About this book

Bweha mwenye njaa anaiona bustani iliyo na zabibu mbivu zinazoning'inia kutoka kwenye tawi. Bweha anaruka juu kutaka kuzinyakua lakini badala yake, anaangukia mgongo. Anaendelea kuruka juu zaidi na kila wakati anaanguka chini kwa kishindo. Je, atawahi kuzipata zabibu?

Shared under CC BY 4.0

More like this